
Kamanda mjkuu amesema njia hizo zimelenga kuruhusu mchakato wa
kuwaondoa raia kabla Serikali ya Iraqi haijafanya shambulizi kubwa ili
kudhibiti eneo hilo.
Raia laki nne wanakisiwa kubaki katika sehemu ya eneo la mji wa Mosul.
Kumekuwa
na taarifa za raia kuathiriwa vibaya kutokana na mashambulizi
yanayotekelezwa na Serikali, yakisaidiwa na mashambulizi ya anga
yanayotekelezwa na vikosi vya Marekani.
chanzo:Bbc.
Comments