Skip to main content
Nape: Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU.
Mkutano ambao ulipangwa kufanyika katika Hoteli ya Vina, Mabibo, lakini kabla haujaanza, watu waliovalia soksi nyeusi usoni (maski) walivamia na kuanza kuwapiga wanachama wa CUF na waandishi wa habari, waliokuwa kwenye mkutano huo.
leo April 23 2017 kupitia ukurasa wa Twitter wa mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye ameyaandika haya kuhusiana na vurugu hizo zilizosababishwa na watu hao wasio julikana….>>>Siasa ni ushindani wa HOJA sio NGUVU! Tunaenda wapi huku jamani?! Wanavamia na kutoroka??!! How?!! Siasa imevamiwa na manungayembe sasa” – Nape
chanzo:zanzibar24.
Comments