Mwanafunzi wa kidatu cha tatu ajitupa baharini kutoka kwenye boti.

mwanamkeMwanamke mmoja ameokelowa kutoka baharini baada ya kujitupa kutoka kwenye Boat ya Kilimanjaro V  leo wakati wakitokea Dar es Salaam kuelekea Zanzibar.

Mwanamke huyo aliyetambuliwa kwa jina moja la Hudhaima Mkaazi wa Kikwajuni ambae pia na mwanafunzi wa kidatu cha tatu katika Skuli ya Glorius.


Sababu ya kujitupa mwanafunzi kutokana na kugombwa pamoja na kunyang’anywa simu yake nyumbani kwao kutokana na matumizi mabaya ya simu hiyo.

Kwa taarifa zilizopatiakana mwanamke huyo tayari ameshafikiswa Hospitali ya Mnazi mmoja kwa ajili ya matibabu.
chanzo:zanzibar24.

Comments