Mvamizi mmoja ashambuliwa na wananchi.

Mtu mmoja miongoni mwa waliovamia mkutano wa wanachama wa CUF ameshambuliwa na wananchi wakati akijaribu kutoroka.
 
Mtu huyo, ambaye hajafahamika alikuwa akitoroka  pamoja na wenzake katika   eneo hilo la Vina Hotel Mabibo  mara  baada ya kutekeleza uvamizi huo katika  mkutano wa wanachama wa CUF.

Watu hao waliovamia mkutano huo, walikuwa na bastola.
Mwandishi Wetu aliyeko eneo la tukio anaendelea kutujuza. 
chanzo:Mwananchi.

Comments