Mtu mmoja afariki Dunia kwa ajali ya gari.

Mtu mmoja amefariki leo asubuhi na wengine 23 kujeruhiwa baada ya daladala la Gongo la Mboto kugonga treni ya Pugu saa 11 leo alfajiri katika makutano ya barabara ya Nkrumah, Kariakoo.
Kati ya Majeruhi hao 23, majeruhi  7 wako spitali ya Amana na 15 yao wako Muhimbili ambapo Kati yao watatu ni mahututi.

chanzo:zanzibar24.

Comments