Mtoto mdogo ahofiwa kufariki baada ya kuzama mto Ngerengere.

Mtoto wa darasa la kwanza Mkoani Pwani aliyetambulika kwa jina la Karim Salum anahofiwa kufariki Dunia baada ya kuzama wakati alipokuwa akiogelea kwenye maji ya Mto Ngerengere.

Wananchi wameendelea na jitihada za utafutaji wa mwili wa mtoto huyo ambao mpaka sasa bado haujapatikana.

chanzo: zanzibar24.

Comments