
Katika taarifa yake kwa vyombo vya habari ni kwamba uteuzi huo
umefanyika baada ya serikali yamkoa kupokea ushauri kutoka wilaya
uliozingatia uwezo wa mtu kutendaji .
Aidha kwa mujibu wa sheria no 8 (1) cha sheria no 8 ya mwaka 2014 ,
ambayo imempa nguvu kisheria mkuu wa mkoa kufanya uteuzi wa masheha
katika eneo lake .
Masheha wapya walioteuwaliwa ni , ali khatib chwaya ameteuliwa kuwa
sheha wa shehia ya sellem , ramadhan omar ahmed shehia ya kipange ,
mwanaidi khamis alela shehia ya maziwani na shabaan salim mtwana kuwa
shehia ya kisiwani kwa binti abeid.
Wengine ni ali khalid ali sheha wa shehia ya mzambarau takao , ,
mariam juma ali shehia ya mlindo , said othman kombo shehia ya chamboni ,
ali hamad sharif shehia ya shanake faki kombo hamad shehia ya majenzi
pamoja na khatib hamad mbwana ambaye ameteuliwa kuwa sheha wa shehia ya
kiuyu.
CHANZO:zanzibar24.
Comments