Mitandao ya kijamii yafungiwa kwa tuhuma za kuchochea vurugu India.

Serikali yaifungia Mitandao ya Kijamii kwa Mwezi mmoja katika jimbo la Kashmir kufuatia kuzuka kwa vurugu katika Jimbo hilo. .

Uamuzi huu umechukuliwa baada ya kudaiwa kuwa mitandao hiyo ilitumiwa kufanya uchochezi ambao ulipelekea kufanyika kwa vurugu hizo.

chanzo:zanzibar24..

Comments