
Ikulu ya white house inasema rais Trump amemhakikishia waziri mkuu wa
Japan Shinzo Abe kwamba Marekani itasimama pamoja na Korea kusini na
Japan, katika kukabiliana na vitisho vya Korea Kaskazini.
Matamshi hayo yanajiri kabla ya mkutano kati ya Rais Trump na rais wa Uchina Xi Jing Ping huko Florida.

chanzo:Mpekuziblog.
Comments