
Taariza zilizosibitiswa na kamanda wa Polisi wa Mjini Magharibi
Kamishna msaidizi muandamizi wa Polisi Hassan Nassiri Ali amesema tukio
hilo mla kusikitisha baina ya mwezi machi na april 19 mwaka huu huko
kianga wilaya ya magharibi A.
Aidha kamanda hassan amesikitishwa sana tukio hilo na kuiomba jamii
kurudi katika maadili mema kwani ni jambo la ajabu sana kusikia mwana
familia kufanya tukio la kinyama katika familia yake.
Hata hivyo amesema Mtuhumiwa wa tukio hilo ameshakamatwa na polisi na
baada ya upelelezi kukamilika atapelekwa mahakamni kujibu shtaka lake.
chanzo:zanzibar24
Comments