
Mwaka jana, idadi hiyo ilipungua kwa zaidi ya theluthi moja.
Lakini Amnesty imesema kwamba kiwango hicho hakihusishi Uchina, ambayo inatuhumiwa kuwa na idadi kubwa ya adhabu ya kifo.
Inakadiriwa kwamba, idadi ya waliopata adhabu ya kifo nchini Uchina mwaka jana, ni kubwa zaidi kuliko duniani kote.
Kwa mara ya kwanza kwa zaidi ya muongo mmoja, Marekani haipo katika
kundi la nchi tano zinazotumia adhabu ya kifo ambazo ni Uchina, Iran,
Saudi Arabia, Iraq na Pakistan.

chanzo:Bbc.
Comments