
Kwa mujibu wa taarifa zilizosibitiswa na kaimu kamanda wa Mkoa wa
Kusini Unguja, Kamishna Msaidizi wa Polisi Kheri Mussa kuwa marehe huyo
aliyejulika kwa jina la Wanu Ameir Chum ambapo tukio hilo limetokea jana
huko Mzuri Makunduchi.
Aidha Kamanda huyo alitoa wito wa watu wanaoishi na wagonjwa wa akili
kuwa karibu nao na kutowaacha peke yao majumbani ili kuweza kuepusha
majanga kama hayo.
Mwili wa marehemu umefanyiwa uchunguzi katika Hospitali ya Koteji Makunduchi na kukabidhiwa kwa jamaa zake kwa ajili ya mazishi.
chanzo: zanzibar24.
Comments