
Taarifa kutoka ikulu ya Afrika Kusini zinasema Malusi Gigaba ameteuliwa kuwa waziri mpya wa fedha.
Takriban mawaziri 15 wametimuliwa katika kile kinachotajwa kama mshangao kwa serikali ya Zuma.
Mapema wiki hii Gordhan aliamriwa kurudi nyumbani kutoka London
alipokwenda kwa ziara ya kikazi, baada ya kutuhumiwa kuwa alikua
akipanga njama za kuipindua serikali iliyopo madarakani.
chanzo:Bbc.
Comments