
- Dkt Abdallah Juma Abdalla ambaye anakua Naibu Katibu Mkuu Zanzibar, nafasi ambayo ilikua ikishiliwa na Vuai Ali Vuai.
- Perreira Ame Silima anakua Katibu wa Oganaizesheni nafasi ambayo ilikua ikishikiliwa na Mohammed Seif Khatib
- Dkt. Frank Haule anakua Katibu wa Uchumi na Fedha akichukua nafasi ya Bi. Zakia Meghji.
chanzo: zanzibar24.
Comments