Msaada wenye
thamani ya zaidi ya Sh2 milioni umetolewa leo asubuhi na Meya wa Ubungo,
Boniface Jacob akiambatana na maofisa wa wilaya hiyo.
Jacob amesema
msaada huo ni jitahada mbalimbali za kuunga mkono siku wanawake kwa ni watu
muhimu wa kuendesha gurudumu la maendeleo na kwamba halmashauri hiyo ipo katika
kuboresha hospitali ya hiyo iwe ya kisasa.
Mmoja wa
kinamama Ester William aliishukuru manispaa hiyo kwa kuwajali ikiwamo kuboresha
huduma za afya katika hospitali hiyo na Mungu awabariki.
chanzo;mwananchi.
Comments