Rubani mmoja amefariki na mwengine kureruhiwa vibaya sana.
Police wanasema hata ni miujiza kwamba hamna mtu mengine yeyote
aliyejurihiwa licha ya ndege moja ya hizo kuanguka juu ya paa la
mojawapo ya maduka makubwa la eneo hilo nje kidogo mwa mji wa Montreal;
Ndege nyengine ilianguka eneo la kuogesha magari.
Ndege
zote ni za aina ya Cessnas kutoka shule moja ya ufunzi wa urubani -
Hali hmbaya ya hewa ndio unadhaniwa kusababisha ajali hiyo.
chanzo:Bbc.
Comments