
Akithibitisha kamanda wa polisi kamisha msaidizi muandamizi wa polisi Hassan Nassir Ali amesema tukio la aliyefariki limetokea juzi majira ya saa kumi na mbili na nusu jioni na watoto waliookolewa,
wameokolewa jana saa moja asubuhi.
Watoto hao wameshuhudiwa na Waziri wa Elimu na mafunzo ya Amali Zanzibar Mh. Riziki Pembe Juma pamoja na Muwakilishi wa jimbo la Chukwani Mwanasha Khamis Juma walipofanya ziara ya kustukiza katika maeneo hayo na kuwataka wazazi kufuatilia watoto katika mienendo yao.
Kufuatia matukio haya Kamanda wa polisi nae amewataka wazaziu na walezi kwenda maskulini mwa watoto wao wakati wa masomo ili kufatilia maendeleo yao.
chanzo;zanzibar24.
Comments