Chama cha madaktari Tanzania (MAT) kimesema ni muhimu sana Serikali kusitisha zoezi la kuwapeleka madaktari Kenya mpaka serikali ya Kenya itimize makubaliano na madaktari wao ambao waliokuwa wameweka mgomo wa kufamya kazi kwa mda mrefu.
Pia wameitaka Serikali ya Tanzania kuongeza kuajiri madaktari wakeili kusaidia kuziba pengo kubwa la upungufu wa madaktari nchini.
chanzo:zanzibar24.
Comments