
Amedai kuwa amepata taarifa kuwa Lipumba anasema ana wafuasi wengi visiwani humo lakini yeye na wanachama wengine watayalinda Makao Makuu hayo muda wote na hatoweza kuingia.
Amesema jukumu la kulinda Makao Makuu hayo si la mtu mmoja bali la kila ambaye anajali maslahi ya chama.
chanzo:zanzibar24.
Comments