LHRC yataka RC Makonda achukuliwe hatua za kinidhamu.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC) kimesema wamepokea kwa
masikitiko makubwa taarifa za RC Makonda kuingia ofisi za Clouds Media
akiwa na askari wenye silaha.
Kimesema kuwa hatua hiyo ni kutishia usalama wa watu na kusema ni kutumia vibaya madaraka.
Aidha Kimetoa wito kwa Serikali imchukulie hatua za kinidhamu na kijinai mkuu huyo wa mkoa.
Comments