
Aidha Waziri Nchemba amesema iwapo mtu huyo ameweza kutoa bastola mbele ya kamera, je ingekuwa kwenye uchochoro angefanya nini.
Wakati huohuo Mhe. Nchemba amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP
kumsaka mtu huyo aliemtolea bastola Mhe. Nape na akigundulika kuwa ni
askari kweli basi hatua za Taasisi husika zichukue mkondo wake.

Chanzo:zanzibar24.
Comments