"Huku Sudan Kusini ikiingia kipindi kipya cha ujenzi wa taifa,
tumeamu kusitisha jitihada za ujenzi ambao jeshi letu lilikuwa
likitekeleza mjini Juba," bwana Abe alinukuliwa na shirika la hari la
Kyodo.
Katibu wa mawaziri Yoshihide Suga, baadaye alisisitiza kuwa
kuondolewa huku hakutokani na sababu ya kuzorota kwa usalama maeneo
wanajeshi hao walikuwa wakifanya kazi.
Wanajeshi hao wa Japan
waliowasili nchini Sudan Kusini mwezi Novemba mwaka 2016, ndio wa kwanza
katika kipindi cha karibu miaka 70 kutumwa nje ya nchi, wakiwa na agizo
la kutumia nguvu ikiwa itahitajika.
Sudan kusini iliyojitenga kutoka Sudan mwaka 2011, imekumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tangu mwaka 2013.
chanzo:Bbc
Comments