Taarifa yao inasubiriwa kwa hamu kuona iwapo watakuwa wameunga mkono sera za biashara huru au la.
Katika
kikao kama hicho hapo miezi minane iliyopita Uchina iliunga mkono kwa
dhati sera hiyo ya biashara huru ambayo imeifaidi pakubwa kwa kuweza
kuuza bidhaa zake kwa wingi kote duniani.
Hata hivyo utawala wa
sasa wa Marekani chini ya rais Trump umesema utaweka vizingiti vikali
vya ushuru kulinda zaidi biashara za Marekani .
Pia amesema ataibatilisha mikataba ambayo anasema haijaifaidi Marekani.
chanzo:Bbc.
Comments