Mratibu wa
Shirika la kuwatetea wanawake, la Equality for Growth (EfG), Ikupa Mwakisu
amesema wanawake hao wanaofanya shughuli zao masokoni hufanyiwa ukatili.
“Utafiti
uliofanywa na shirika hili na kuhusisha masoko ya Soko Kuu, Mlango mmoja na
Kirumba ya jijini Mwanza, mwaka 2014/15 ulionyesha asilimia kubwa wanawake
hufanyiwa vitendo vya kikatili na kuwasababishia kufanya kazi zao katika
mazingira magumu,” amesema Mwakisu.
chanzo:Mwananchi.
Comments