Wema Sepetu na Tundu Lissu Wafikishwa Mahakamani Mchana Huu.

Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu pamoja na Mwigizaji Wema Sepetu wamefikishwa Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu mchana huu  kujibu tuhuma zinazowakabili.

Tundu Lissu kasomea mashitaka manne ya uchochezi  na Wema Sepetu ni kuhusu  sakata la  dawa za kulevya

chanzo:mpekuziblog.

Comments