Klabu hiyo ya wenye vipara inawajumuisha wananchama 65 kutoka maeneo tofauti nchini tangu ibuniwe 1989.
Lengo ni kuwahamasisha watu zaidi kuhusu watu wenye vipara.
Mwenyekiti wa klabu hiyo Teijiro Sugo mwenye umri wa miaka 70 alisema
kuwa matumaini ni kwamba klabu hiyo ingewavutia wanachama zaidi na kuwa
kubwa zaidi.
''Nawataka wanaume wote walio na upara duniani kukongamana hapa ili kuanzisha michezo ya olimpiki'',alisema.
chanzo:Bbc.
Comments