
Vyombo vya Ulinzi na Usalama vimeteketeza mashamba manne makubwa za zao hilo haramu.
Inadaiwa kuwa Watendaji hao walificha taarifa
za kuwepo kwa mashamba hayo katika vijiji vyao na kuendelea kuyalima kwa kutumia mbolea hiyo ya ruzuku ya Serikali.
chanzo:zanzibar24.
Comments