Rais wa Jamhuri ya Muungano tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Leo tarehe 10 february, 2017 amemteua Bw.Rogers William Sianga kuwa kamishna Mkuu wa Mamlaka ya kuzuia na kupambana na dawa za kulevya.
Wakati huo huo, Mhe Rais magufuli amemteua Dkt Anna Peter Makakala kuwa kamishna Mkuu Uhamiaji.
chanzo:zanzibar24.
Comments