Msaada huo uliotolewa ni gari moja aina ya bus yenye uwezo wa
kuchukua abiria 32,vifaa vya hospitali
ikiwemo vitanda na magodoro 30, Mito 30, Taula 60, Jiko la umeme, Mashine ya kuchemshia maji, Friza moja, Meza 30, Vigari vyakutembelea wazee 3, Magongo ya kutembelea 30 na vifaa vyengine mbalimbali.
ikiwemo vitanda na magodoro 30, Mito 30, Taula 60, Jiko la umeme, Mashine ya kuchemshia maji, Friza moja, Meza 30, Vigari vyakutembelea wazee 3, Magongo ya kutembelea 30 na vifaa vyengine mbalimbali.
Akikabidhi msada huo Meneja wa hoteli hiyo Garry Friend amesema
lengo la kutoa msaada huo ni kuwasaidia wazee ili kuondokana na usumbufu
na kusema kuwa msaada huo utakuwa endelevu kila mapato yatakapo ruhusu.
Akipokea msaada huo Mkuu wa kituo hicho cha kulelea wazee Marry
Gemma ameshukuru uongozi wa hoteli hiyo nakusema licha ya misaada
mbalimbali lakini bado wanakabiliwa na matatizo mbalimbali katika
nyumba za wazee ikiwemo wizi katika eneo hilo unaosababishwa
na kutokuwa na uzio na kupelekea wizi kuingia kuiba nakutoa wito kwa
taasisi mbalimbali kujitokeza kuwasaidia wazee.
Kwaupande wake Naibu Waziri wa kazi, uwezeshaji,wazee vijana wanawake
na watoto Shadia Mohammed Suleiman ametoa shukrani zake za dhati kwa
Uongozi wa Park Hyatt kwa kuunga mkono jitihada za seriakli kutatua
matatizo yanayowakabili wazee nchin.
chanzo:Zanzibar24
Comments