
Habari hiyo ambayo ilidaiwa kumnasibisha Maalim Seif na Rais wa
Zanzibar ilichapishwa ukurasa wa kwanza ikisema” Hitimisho la ziara ya
Rais wa Zanzibar ambae pia ni katibu mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif
Hamadkatika wilaya ya Wete Pemba”
Hivyo Serikali imetoa muda wa masaa 24 kwa viongozi wa mtandao huo
kuomba radhi kwa maandishi na kuwataka viongozi hao pamoja na wahariri
kufika idara ya Habari Maelezo Zanzibar bila kukosa Kesho saa 3: 00
asubuhi
chanzo:zanzibar24.

Comments