Ashley Glawe alichapisha picha yake katika mtandao wa facebook akiwa hospitali.
Aliandika: Kilikuwa kisa cha kushangaza sana katika maisha yangu baada ya nyoka wangu kuingia katika tundu ya sikio langu .
Alichapisha
katika ujumbe huo katika mtandao akisema anamshikilia nyoka huyo kwa
jina Bart baada ya kuingia katika ndewe yake ya sikio.
''Lilikuwa tukio la haraka hadi sikuweza kujitetea''.
Anasema kuwa ana wasiwasi mkubwa kuhusu nyoka wake lakini hakuna tatizo lolote kufikia sasa.
Nyoka huyo kwa sasa anadaiwa kuwa kati hali nzuri.
chanzo:bbc.
Comments