
Wamiliki wa mbuzi hao Asha Mwinyi Fundi na Mwanapili Mussa Bakari wamesema wamesikia vishindo muda wa saa nane usiku lakini hawakujua kitu gani kinaendelea na baada ya kuamka asubuhi wakakuta mbuzi wao wamechinjwa na kuacha vichwa na matumbo yamezagaa mtaani.
Nae sheha wa sheria ya maungani amelaani vikali tukio na kusema kuwa kiupande wake alilipokea kwa huzuni tukio hilo na kuwataka vijana kujishughulisha kazi za halili na sio kutendo vitendo vya kinyama.
Mbuzi hao ambao wenye thamani ya shilingi milioni moja na laki tano kwa kukisia ni msaada wa watoto yatima kutoka ofisi ya mufti.
chanzo:zanzibar24.
Comments