Hassan Sheikh Mohamud na Sharif Sheikh Ahmed walipoteza kwa Mohamed katika uchaguzi ulioshirikisha wagombea wengine 20.
Taifa la Somalia limebadilisha marais mara 12 tangu 1960 na limekuwa na mapinduzi pamoja na mauaji ya kiongozi.
Ushindi wa Mohamed umeendeleza utamaduni wa miaka mingi wa Somalia kutochagua rais aliyepo madarakani.
Bw
Mohamud alikuwa rais 2012 na alitumai kuchaguliwa kwa awamu ya pili
lakini wabunge walimchagua Mohamed katika uchaguzi wa siku ya Jumatano.
Sheikh Ahmed alikuwa rais wa Somalia kutoka 2009 hadi Mohamud alipomshinda 2012.
chanzo:bbc.
Comments