Makonda
amesema hayo leo (Ijumaa) alipoulizwa swali na wanahabari kuhusu uhakika
wa taarifa zinazosambaa mitandaoni kuwa alinunua vyeti na kutumia jina lisilo
lake.
Maswali ya
mitandaoni yanaishia mitandaoni siko hapa kupoteza focus (mwelekeo).
Ukiona maneno
mengi yanaibuka kwenye ishu ya dawa za kulevya ndiyo ujue vita imefika
penyewe,"amesema Makonda.
chanzo:Mwanachi.
Comments