Profesa Lipumba ameeleza hayo
alipokuwa katika kipindi cha Funguka kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Azam TV akiwa na mtangazaji, Tido Mhando.
alipokuwa katika kipindi cha Funguka kinachorushwa na kituo cha televisheni cha Azam TV akiwa na mtangazaji, Tido Mhando.
Akijibu swali hilo Profesa Lipumba alisema, “Kama nimealikwa katika shughuli ambayo Rais anafungua miundombinu yenye manufaa kwa taifa zima, siwezi kuacha kwenda. Nitahudhuria, nitakwenda tu kwa sababu maendeleo hayana chama.”
“Sijaanza juzi kuhudhuria shughuli za kiserikali, ukifuatilia utagundua kuwa huo ni utamaduni wangu tangu zamani. Nikialikwa katika shughuli za kiserikali na nikiwa na nafasi nimekuwa nikihudhuria,” aliongeza.
chanzo:zanzibar24.
Comments