Kamanda Sirro Kaeleza Kinachoendelea Baada ya Kumkamata Tundu Lissu.

Kamanda wa kanda maalumu ya Dsm,Kamanda Sirro amewaambia waandishi wa habari kuwa bado wanaendelea kumshikilia Tundu Lissu katika  kituo kikuu cha Polisi ikiwa ni siku ya tatu bila dhamana.

Lengo la kuendelea kumshikilia ni kuendelea kufanya upelelezi wa matamshi yake na kujihakikishia pasi na shaka kuwa Tundu Lissu ana kesi ya kujibu.

Hadi pale upelelezi huo utakapokamilika,basi Tundu Lissu atafikishwa mahakamani. 
chanzo:mpekuziblog.

Comments