
Agizo hili linaanza kutekelezwa mara moja katika vituo vyote vya Jeshi la Polisi Tanzania bara na visiwani.
Kufuatia tangaza hili lililotolewa na Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi,
hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wale wote watakaokiuka agizo
hili.
chanzo: zanzibar24.
Comments