
Msigwa ameandika kupitia ukurasa wake wa Twitter kuwa taarifa hiyo si ya Ikulu na kuwa imetengenezwa na wahalifu wa mitandao hivyo kwa kuwataka wananchi kuipuuza.
Hii ndo Taarifa ya uongo inayosambazwa
chanzo:Mpekuziblog.
Taarifa hii sio ya Ikulu.Imetengenezwa na wahalifu wa mtandao.IPUUZWE!!!!
Comments