Baba wa kambo umuua mtoto wake na kumfukia.

Baba wa kambo amuua mtoto wake wa kufikia ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Gwanseri Mkoani Kagera.

Jeshi la Polisi linamshikilia mtuhuiwa huyo kwaajili ya mahojiano ili kupata chamaelezo juu ya tukio hilo la kusikitisha.

Aidha inadaiwa baada ya kutekeleza unyama huomtuhumiwa huyo alimfukia ndani ya nyumba akiwa amemuweka kwenye mfuko wa plasitiki kwa lengo linalodaiwa kua ni kupoteza ushahidi wa kutenda kosa hilo.

chanzo: zanzibar24.

Comments