Hatua hizo za kiusalama zinalenga maeneo yanayozunguka uwanja wa ndege eneo ambalo kura itafanyika,
licha ya wasiwasi wa kuwa huenda kukatokea shambulizi kutoka kwa wanamgambo wa kiislamu wa al Shabab.
licha ya wasiwasi wa kuwa huenda kukatokea shambulizi kutoka kwa wanamgambo wa kiislamu wa al Shabab.
Marufuku ya safari za ndege kupitia maeneo fulani nayo imetangazwa. Somalia haijakuwa na serikala kamili tangu utawala wa Siad Barre uanguke mwaka 1991.
chanzo;bbc.
Comments