Akamatwa akimbaka ng’ombe wa mjomba ake.

ngombeKatika hali isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la salum ali salum (18) ajitoa faham na kumchukua ng’ombe wa mjomba ake na kufanya nae mapenzi jambo amblo ni kosa kisheria.
Mmliki wa ng’ombe huyo ambae ni mjomba wa mbakaji amesema, baada ya kupewa taarifa za kukutwa kwa kijana huyoakitenda tukio hilo amesema
ni kweli walimkuta ng’ombe huyo ameshafanyiwa kitendo hicho na  baada ya kijana kuulizwa alikataa lakini baadae alikiri kufanya kitendo hicho.
Nae sheha wa shehia ya Bumbwisudi Abdullrahman salum amekiri kutokea kwa tukio hilo katika shehia yake na kusema kuwa kitendo hicho ni cha aibu na kuitaka jamii kuwa makini na watu wanaotenda  vitendo hivyo.
chanzo:zanzibar24.

Comments