Waziri mkuu IVORY COAST ajiondoa madarakani.

Waziri Mkuu wa IVORY COAST Daniel Kablan Duncan amejiuzulu kufuatia kupitishwa kwa katiba mpya na uchaguzi wa bunge wa mwezi uliopita atika Bunge la nchi hiyo.

Aidha Rais Alassane Ouattara awavua vyeo mkuu wa Jeshi na wa Polisi wa Nchi hiyo kufutia kuwepo kwa hali ya mgomo wa wanajeshi ambao wanadai kuongezewa mshahara na marupurupu.
chanzo: zanzibar24.

Comments