Mahakama yamuachia huru Kubenea.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeifuta Kesi ya Uchochezi iliyokuwa inamkabili Mbunge wa Ubungo na mwandishi, Saed Kubenea.

Hata hivyo, mara baada ya kuachiwa huru jeshi la polisi lilimkamata Kubenea na sasa yuko kituo cha polisi kati kwa maelezo zaidi.

chanzo: zanzibar24.

Comments