Leo
Rais Magufuli amefungua rasmi awamu ya kwanza ya miundombinu na utoaji
wa huduma ya usafiri wa haraka wa mabasi (BRT) katika Jiji la Dar es
Salaam.
Akizungumza
kabla ya kufungua rasmi awamu ya kwanza ya mradi huo Rais Magufuli
ameiomba Benki ya Dunia kuharakisha mchakato wa kutoa fedha za mkopo
utakaowezesha kuanza kwa ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya
barabara ya Ubungo (Ubungo Interchange) ili kuongeza ufanisi wa mradi.
Pia ametoa onyo kali kwa magari ya kawaida, bajaji na pikipiki kuingia katika barabara za mabasi ya mwendo kasi huku akisisitiza msimamo wake wa kutaka yatolewe matairi pindi yanapokamatw.
Pia ametoa onyo kali kwa magari ya kawaida, bajaji na pikipiki kuingia katika barabara za mabasi ya mwendo kasi huku akisisitiza msimamo wake wa kutaka yatolewe matairi pindi yanapokamatw.
chanzo;mpekuziblog.
Comments