Kesi ya Mkurugenzi wa Jamii Media, Maxence Melo yaendelea kusota.
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
Kesi namba 458 yenye makosa 2 inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo imetajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.
Hata hivyo kesi hiyo imeahirishwa hadi tarehe 16 Februari 2017 itakapotajwa tena kwa Hakimu Nongwa kwasababu ya kutokamilika kwa upelelezi upande wa Jamhuri.
Comments