Jaji Warioba: Tanzania ina dalili za kukumbwa na janga la njaa.

Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Warioba amedai kuwa kuna dalili za nchi kukumbwa na janga la njaa. Aitaka Serikali kugawa chakula haraka.

Jaji Warioba amesema si sahihi kuendelea kubishana kuwa nchi ina njaa au haina, wakati dalili zinaonesha uwezekano wa kukumbwa na upungufu wa chakula upo na unaonekana wazi.

chanzo; zanzibar24.

Comments