Dk. Shein afungua soko jipya la wete.

SOKO jipya la matunda na mboga mboga la Mjini Wete Pemba, ambalo limeshafunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwe ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

WANAFUNZI kutoka Wete, wakiwanogesha wananchi waliohudhuria ufunguzi wa soko jipya la matunda na mboga mboga la Mjini Wete Pemba, ambalo limeshafunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwe ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

WANANCHI wa mkoa wa kaskazini Pemba, waliohudhuria ufunguzi wa soko jipya la Wete, uliofanywa na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

WANAFUNZI wa skuli mbali mbali za wilaya ya Wete wa mkoa wa kaskazini Pemba, waliohudhuria ufunguzi wa soko jipya la Wete, uliofanywa na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

MAOFISA wadhamini wa wizara mbali mbali za serikali Kisiwani Pemba, waliohudhuria ufunguzi wa soko jipya la Wete, uliofanywa na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

WAPIGA ngoma aina ya Msondo kutoka Kangagani , wakiwatumbuiza wananchi waliohudhuria ufunguzi wa soko jipya la matunda na mboga mboga la Mjini Wete Pemba, ambalo limeshafunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein, ikiwe ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein akikata utepe, kuashiria kulifungua soko jipya la matunda na mboga mboga lililopo Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein akilitembela soko jipya la matunda na mboga mboga, lililopo Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada ya kulifungua, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe: Dk, Ali Mohamed Shein akizungumza na wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba, mara baada kulifungua soko jipya la matunda na mboga mboga lililopo Wete Mkoa wa kaskazini Pemba, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi akiwa na viongozi kadhaa kwenye picha ya pamoja, mara baada ya kulifungua soko jipya la matunda na mboga mboga lililopo Wete, ikiwa ni sehemu ya maadhmisho ya miaka 53 ya mapinduzi Zanzibar, (Picha na Haji Nassor, Pemba).

 chanzo:zanzibar24.

Comments