Pamoja na uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la
Dimani kufanyika katika hali ya utulivu na amani, vyama vya upinzani
vinavyoshiriki uchaguzi huo vimepinga uchaguzi huo kwa madai hauko huru
na haki na una ukiukwaji wa sheria na katiba zilizoekwa na tume ya
uchaguzi.
Baadhi wagombea ya vyama hivyo ikiwemo chama kikuu cha upinzani cha
CUF wamedai kutoridhiswa na utaratibu wa uchaguzi huo japo kua matokeo
yameshatangazwa.
chanzo; zanzibar24.
Comments