Mnamo mwezi Oktoba, 2016 chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)
kilifungua kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ili kupinga
ushindi wa Benjamini Sitta kuwa Meya wa Kinondoni.
Baada ya uthibitisho huo Benjamimi Sitta ataanza kazi zake za umeya atazopangiwa.
chanzo; zanzibar24.
Comments