Akijibu swali katika kikao cha baraza la wawakilishi Chukwani Naibu
Waziri wa wizara hiyo Lulu Msham Abdallah amesema jitihada za kumtafuta
Mhandisi zinaendelea ili kuondoa matatizo yanayolikabili Bonde hilo.
Jumla ya hekta 61 za bonde hilo zinatarajiwa kuendelezwa kwa kuwekwa
miundombinu ya umwagiliaji maji na wakulima wataweza kulima misimu
miwili kwa kila mwaka.
chanzo; zanzibar24.
Comments